UFUNGUO WA KINABII
Scriptures2Petro1:21
Mambo 7 Ufunguo wa Kinabii hufanya
1.Mungu alitumia unabii kuimba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Mwanzo 1:1-3
2.Unabii ni ufunguo mkubwa wa kumfunua Kristo Yesu Yohana 1:1-5
3.Unabii ni ufunguo mkubwa wa kuvua watu.Ni rahisi sana mtu kuokoka akiambiwa yaliyo ndani ya moyo wake.Luka 5:8
4.Ufunguo wa Unabii ni msingi wa kanisa.Tumejengwa ktk misingi ya Manabii na mitume.Ni kosa jambo lolote kutolea bila taarifa ya Roho Mtakatifu Matendo 13:1-3
5.Ufunguo wa Unabii uko ktk wakati uliopita,uliopo na ujao Yuda 1:14
6.Unabii hufanywa Kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu si matakwa ya mtu. 2Petro1:21
7.Unabii hutolewa Ili kulijenga kanisa 1Wakorintho 14:4 2Nyakati15:8