cover

DAY 2 : SIRI NA NAMNA YA KUMTAFUTA BWANA MUNGU NA MATOKEO YANATOKEA MTU ANAPOMPATA MUNGU

Ev Daniel • RGCM-GOBA • Apostolic Church • 2026-01-13
Scriptures2 Nyakati 26: 5

SOMO : SIRI NA NAMNA YA KUMTAFUTA BWANA MUNGU NA MATOKEO YANATOKEA MTU ANAPOMPATA MUNGU DAY 2 **SIRI YA KUMTAFUTA BWANA MUNGU** 1. Require all of you - Inakutaka wewe yote >> yote kwenye mawazo >> yote na moyo >> yote na nguvu zangu zote >> yote na roho yangu yote 2. Kila safari ya Kumtafuta BWANA lazima iambatane na Ukuhani 2 Nyakati 26: 5 >> pasipo ukuhani haiwezekani kumpata BWANA MUNGU >> if you minus priesthood in the journey of seeking GOD. you have created a disaster >> Kuhani aliyeitwa , aliyepakwa mafuta >> pastoral ship is the position , priesthood is the promise and covenant leo ntakuonyesha siri ya ukuhani , nini kinamfanya mtu awe kuhani ###### Kuhani ni nani ? >>kuhani ni Balozi wa BWANA MUNGU hapa chini ya Jua >> Kuna kiwango huwezi kumtafuta BWANA MUNGU ni Mpaka umempata Kuhani atakayekuonyesha Njia Dhambi kuu mbili za makuhani >> Dhambi ya kutokuamini >> Dhambi ya kutokuwa na Maarifaa – Hosea 4:6 >> Mathayo 28:18 >> BWANA MUNGU alimwita Samweli kwa sauti ya Kikuhani…1 samweli 3:1-21. Alihakikisha amewajaza Maarifa , ROHO MTAKATIFU na NGUVU – wale wanafunzi wake. Na pia aliwatuma kwenda kuhubiri – Wale wawili. >> Safari yako ya Imani inategemea sana aina ya kuhani aliyeko mbele yako…ndo maana maandiko yanasema Nitampiga Mchungaji na kondoo watatawanyika. Usimfanye mtu kuhani wako kwasababu ya mambo yafuatayo • Jina • Upako • Wafuasi wengi • Undugu • Pesa • Urafiki Sasa ni mambo gani utaangalia kujua huyu nikuhani wangu ? • Fundisho la msingi >> wokovu ,ubatizo sahihi wa bibilia, Ujazo wa ROHO MTAKATIFU , Wadumu kwenye fundisho la Mitume • Tabia za KRISTO zilizo ndani yake • Nia ya KRISTO ndani yake ( Mind of CHRIST ) 1 wakorintho 1:16 Vizuizi vinavyozuia kutokukutana na BWANA MUNGU I. Dhambi Isaya 59:1-3 Antidote of sin is Humility FATHER have mercy on me and sanctify my iniquities and transgression Dhambi ni zuio la kiroho kwa BWANA MUNGU kumsaidia mwanadamu. II. Dini Ni njia tofauti tofauti za wanadamu kumtafuta BWANA MUNGU III. Adui shetani Hupinga wengi kwa Hila Shetani anawapinga wengi kuifikia ile KWELI Huwachosha wengi sana njiani Hupanda roho ya Ukengemfu – deceptions ili wengi wasimpate BWANA MUNGU. 1 Timothy 4:1 Marko 13:22 IV. Masumbufu ya Maisha haya Tafutane kwanza Ufalme wa BWANA MUNGU. Watu wanawaza Maisha kuliko BWANA MUNGU Kumpata BWANA MUNGU ni kupata 100% ya Maisha V. Elimu za Dunia hii

Comments

No comments yet.

Please login to comment.